Ndio nimefika jana usiku Mtani.Nimekuja vipi umesharudi kutoka Iringa? ππ
Na kweli mkuu haswa huyu Shadeeya alikimbia hapa jukwaani toka siku ile ya Kamwenee, sasa naona leo kaibukia kwenye ishu ya Manara.
Hahahaaaa. Lol.Shadeeya unakwama wapi? ππππ
Mkuu sisi hatumtaki kabisa. Lile domo linaweza kubadilisha hata rangi ya jengo letu muda wote linatema matope.
Akaaaaaa. Abakie tu huko Mtani sababu nyie ndio mmezowea kupewa kauli tamu za uwongo ambazo huwa zinawafariji wenyewe.
Kama ile eti Simba saizi yake ni Barca. ππππ
Wamejificha huku ..lengo lao Hajji awachangieNaona mmepata kipozea cha Lipuli 2 - Yanga 0. Pambaneni na hali yenu ngumu
Povuuuu... Hasiraa za KamweneeeIkitajwa yanga tu mkundu unakuwasha!
Wampokee tu.. wajaze bakuliYeye kasema Liverpool ikimtoa Barca anahama automatically.
Sisi tuna chukulia kwamba ameshahama.
Kilichomponza ni kuwa alifikiri mpira unachezwa mdomoni ni hilo tu Mtani.Ndio nimefika jana usiku Mtani.
Nauliza tu hivi yule Manara wenu aliwaza nini au ndio alikuwa anaitamania Yanga na hakuwa na jinsi ya kuelezea hisia zake?
Hahaaaaaaa. Lol.Yeye kasema Liverpool ikimtoa Barca anahama automatically.
Sisi tuna chukulia kwamba ameshahama.
Hasara kwake. Ila iko siku atamtoa na mkewe.Kilichomponza ni kuwa alifikiri mpira unachezwa mdomoni ni hilo tu Mtani.
Hatumuhitaji hata ye abakie huko huko kwa wana nguvu moja.Sasa vipi mko tayari kumpokea na kumpa kadi ya uanachama? ππ
Mtani Swalamaaaa. πππWamejificha huku ..lengo lao Hajji awachangie
Nasikia hata Lipuli ananunua marefa.Hatumhitaj kwa sasa hatuna nafasi yake.Ajifunze tu kulinda domo lake asidhan Ile ni TPL wanayonunua Marefa.
Hahaaaaaaa. Lol.
Hahaaaa. Itakuwa sikusikia Mtani. ππHalafu Mtani nilikusalimia Kamwenee hukuitika.
Hahaaaa. Itakuwa sikusikia Mtani. ππ
Naona mulifurahi mpaka basi yaani. Ila waswahili wana msemo wao "HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA"
Yah kama nyie ilivyoishia kwa Mashujaa Mtani. ππKwa hiyo ncha yenu ni kwa kina Kamwene!
Ni kweli Mtani hali haikuwa hali msimu huu.Halafu eti Zahera anasema Yanga haikuwa na lengo la kuchukua kombe lolote, isipokuwa mlijiwekea malengo ya kutovuka namba 10! Kweli Mtani?
Yah kama nyie ilivyoishia kwa Mashujaa Mtani. ππ
Ni kweli Mtani hali haikuwa hali msimu huu.