Haji hamia tu Yanga kwani ndio timu kongwe ya familia ya kina Manara. Baba yako Sunday, mkubwa Kitwana, na Kassim hawa wote walipitia Yanga sasa Mungu amekuonyesha njia urudi Yanga achana na ulaji huko Simba. Mungu atakupa njia nyingine ya ulaji. Usipo tekeleza saumu yako ya jana ni bure kwa kutangaza uwongo.