Kutokana na kaubaridi haka basi status zingesoma kama kama ifuatavyo

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
ingekua kufanya mapenzi inaonyesha last seen
kama WhatsApp, messenger ama badoo! nadhani
kuna watu wangekua inasoma online wakati huu!!
tena na haka kabaridi nafkiria kuna watu unaona
last seen 1 min ago mara uyooo online
 
subiri waje walioko kwenye baridi kama wewe
 
Hawaji kwa sasa wako kwenye ubaridi ndani ya blanket
 
Back
Top Bottom