Kutokana na kukaza kwa vyuma:Upo tayari kupoteza nini kati ya ' PENZI ' na ' PESA ' ?

Kutokana na kukaza kwa vyuma:Upo tayari kupoteza nini kati ya ' PENZI ' na ' PESA ' ?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kwa usawa huu BABA J ,Nipo TAYARI kupotea PENZI nililonalo kuliko kupoteza AKIBA yangu iliyopo

Tutiririke wakuu tukiwa na vivid example

Deadbody
 
pesa ikipotea wenyewe wanakukimbia
bora kulinda kibubu aisee
 
Labda mnasema Penzi la ma-girlfriend wenu, ila penzi la mke!!! Ngumu kuongea hapa.

Labda kwa kuwa sijaoa. Nisiumemee moyo.
 
Back
Top Bottom