Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
You have a point lakini....labda nitoe mfano, nimeingiza item X value 100/- vat 18/- tu. Nikaiuza 1000/- vat 160/-. Nikitoa risiti nitalipa tra 160-18 as vat 142/- nisipotoa risiti hio 142/- yote yangu.Ukishaona mfumo unatumia nguvu badala ya akili ujue kuna matatizo. Mm sijui tunafeli wapi kama nchi kudhibiti bidhaa na huduma mwanzoni mwa mzunguko kabla mlaji wa mwisho hajafikiwa.
Kama viwanda vyote vya uzalishaji na suppliers wakubwa wote wanaoingiza mzingo kutoka nje(Namaanisha mzunguko wa uuzaji unapoanzia) wakibanwa na system kwamba bidhaa zao zote ziwe zinajulikana na kuhakikisha kwamba kila anayenunua kwao anapewa risiti na kutozwa VAT baada ya hapo wasambazaji wanaofuata wote hawatakubali kulipishwa VAT, lazima watataka kuirudisha ile VAT na ili uirudishe lazima utoe risiti ili anayenunua ailipie yeye.
Kwann wafanyabiashara hawataki kutoa risiti? Jibu ni kwamba na wao wana bidhaa ambazo hazina risiti, hawakulipa VAT wakati wananunua mzigo. Sasa yule wa kwanza kabisa ndo akibanwa wengine watajikuta wako ndani ya mfumo maana asipotoa risiti wakati yeye alipewa risiti examination itamuumbua.
Kinyume na hapo ni staff tu wa TRA ndo watahongwa maisha yaendelee.
Sasa ukiagiza item X, kama TRA itakuwa na mfumo wa kuhakikisha kuwa unapoagiza hiyo item x yako yote inakuwa registered ni rahisi sana kumonitor movement ya item x yako.You have a point lakini....labda nitoe mfano, nimeingiza item X value 100/- vat 18/- tu. Nikaiuza 1000/- vat 160/-. Nikitoa risiti nitalipa tra 160-18 as vat 142/- nisipotoa risiti hio 142/- yote yangu.
Sio rahisi kihivyo.Sasa ukiagiza item X, kama TRA itakuwa na mfumo wa kuhakikisha kuwa unapoagiza stock yako yote inakuwa registered ni rahisi sana kumonitor movement ya mzigo wako.
Ukiuza bila risiti siku wakikufanyia inspection au audit watajua maana watategemea kukuta stock ambayo ipo registerd na utakuwa huna maana umeiuza.
Unapigwa faini kubwa sana maana umepoteza movement track ya stock kutoka kwako kwenda kwa mtumiaji wa mwisho na unalipa na hiyo VAT.
Ukitoa risiti uliyemuuzia kama anaenda kuuza tayari TRA itajua mzigo anao yeye, akiuza bila kutoa risiti na yeye imekula kwake maana atalazimika kudanganya kwenye hesabu kuwa hana hizo sales then stock itakuwa kubwa atadakwa kwenye examination. Hivyo hivyo mpaka mtu wa mwisho.
Ukideal na registration ya mzigo unapoanzia, hawa wa katikati hawana ujanja, mfumo utawabana.
Ndivyo inavyotakiwa kuwa. Siyo rahisi kwanini? Tuna njia mbili tu za kupata bidhaa humu nchini ambazo ni viwanda na kuagiza nje.Sio rahisi kihivyo.
Inahitajika workforce kubwa sana kwa jamii hii ya wasiopenda kulipa Kodi. Kulipa kwa hiari ndio Siri ya mafanikio ya wenzetu. Tufundishwe kuwa compliant tangu utotoni.Ndivyo inavyotakiwa kuwa. Siyo rahisi kwanini? Tuna njia mbili tu za kupata bidhaa humu nchini ambazo ni viwanda na kuagiza nje.
Unadeal na bulk suppliers tu, kadri mzigo unavyotoka kutoka kwa suppliers wakubwa unaenda na unagawanyika kwa suppliers wadogo, wakifikiwa wale ambao sio VAT registered unaacha. Kwann iwe ngumu?
Kwann iwe rahisi kusambaza watu mitaani kutegea wakati wa kupeana risiti halafu iwe ngumu kutengeneza mfumo wa stock registration?
Mkuu, hakuna mtu asiyetaka faida kubwa, hata huko nje wanakamata sana wakwepa kodi na kuwafungulia mashtaka. Mfumo bora wa utambuzi ndio unaosaidia serikali kukusanya kodi nyingi. Shida ni kwamba sisi mfumo wetu upo vizuri kwenye makaratasi ila ukija kwenye uhalisia una leakage nyingi.Inahitajika workforce kubwa sana kwa jamii hii ya wasiopenda kulipa Kodi. Kulipa kwa hiari ndio Siri ya mafanikio ya wenzetu. Tufundishwe kuwa compliant tangu utotoni.
Hilo nalo ni la kuangaliaMfanyabiashara atakuuzia vitu bila kukupa risiti atakuambia ukikutana na TRA waambie umenunua kwa machinga.
Ili kazi hiyo ifanikiwe TRA waunde task force kubwa ambao watajifanya ni wanunuaji wazunguke madukani kujifanya wananunua hapo watakamata wengi.
Umelielezea kiuchumi haswa,Safi sanaMkuu, hakuna mtu asiyetaka faida kubwa, hata huko nje wanakamata sana wakwepa kodi na kuwafungulia mashtaka. Mfumo bora wa utambuzi ndio unaosaidia serikali kukusanya kodi nyingi. Shida ni kwamba sisi mfumo wetu upo vizuri kwenye makaratasi ila ukija kwenye uhalisia una leakage nyingi.
Mfano: Naagiza container la yeboyebo, likifika nikishalipa ushuru tu nawapa machinga. Hapo mm lazima nitakwepa kulipa VAT sababu machinga sio VAT registered, nikilipa VAT itaniumiza. Ila kama mfumo utanilazimisha kuwa lazima niulipie VAT nitabakiwa na option mbili tu, either nipandishe bei au nimuuzie mtu ambaye ni VAT registered.
Yaani ukishawaacha big fish wakakimbia na kodi, usitegemee hapa katikati utaipata hiyo kodi. Utatumia nguvu kubwa sana. Ndo hivi sasa na matangazo ya nyumba kwa nyumba kusaka risiti.
Shukran bossUmelielezea kiuchumi haswa,Safi sana
Mfumo wetu wa kodi hauruhusu hilo! Mbona makontena yanalipiwa mamilion lakini yanapofika madukani kodi zingine hufuata.Machinga apaswi kulipa kodi sababu kodi ishalipwa bandarini au kiwandani kwann kuwepo kodi juu ya kodi
Bidhaa moja ulipiwa kodi mara sita chukulia mfano mazao Mchele au unga utalipa kodi ukianza kulima,kupanda,kuvuna, kusafirisha sokoni, kupeleka kiwandani, utalipa kodi kiwandani, ukisafirisha kurudi sokoni, dukani, nkMfumo wetu wa kodi hauruhusu hilo! Mbona makontena yanalipiwa mamilion lakini yanapofika madukani kodi zingine hufuata.