Kutokana na Ripoti ya CAG, bado kuna anayeamini Tanzania imeingia uchumi wa kati?

Hili LA uchumi wa kati ni fact,wala hamuwezi kulichafua,utachafua mambo yooote lakini hili lina fact zake mkuu,ndo maana halisikiki saana..
Japokuwa alikuwa fisadi(kwa mujibu wa CAG),lakini mzee kazi yake inaonekana
 
Chai na Vitumbua vinne hadi vitano Asubuhi

Wali au Ugali kwa Samaki au Nyama haswa Steak na za Mifupa kwa mbali Mchana

Wali wa Maji na Chai au na kitoweo chochote usiku

Huu ndio Uchumi wangu wa Mezani Kati

Hayo Makaratasi wakayachambie
Wewe uko pazuri sana mkuu..naona kuna samaki na nyama hapo😋!
 
Hili LA uchumi wa kati ni fact,wala hamuwezi kulichafua,utachafua mambo yooote lakini hili lina fact zake mkuu,ndo maana halisikiki saana..
Japokuwa alikuwa fisadi(kwa mujibu wa CAG),lakini mzee kazi yake inaonekana
Liongelee ww la uchumi wa kati tupe ushuhuda
 
Uchumi wa kati ni FIKSI tu Mkuu.
 
bora wewe unayetumia milo mitatu , huku Tandika Mwembeyanga watu wanalalia kikombe cha Alkasusi
Mkuu mimi ndicho kipimo changu cha Uchumi wa kati mezani iwapo familia za Watanzania zikiweza kuweka mezani hiyo milo mitatu
 
Hili LA uchumi wa kati ni fact,wala hamuwezi kulichafua,utachafua mambo yooote lakini hili lina fact zake mkuu,ndo maana halisikiki saana..
Japokuwa alikuwa fisadi(kwa mujibu wa CAG),lakini mzee kazi yake inaonekana
Soma Post #2
 
point ziko so weak

mwambie Lissu arudi sasa!!

Utajiumiza kushindana na hayati!!! hawezi kujitetea.....ila hauwezi ukasimama kariakoo kumsema vibaya

pole
 
Ulimuamini mpika data.Uchumi wa Kati waliingia mtetezi wa wanyonge and company ambao leo tukashuhudia upigaji wao KILA kona.
 
point ziko so weak

mwambie Lissu arudi sasa!!

Utajiumiza kushindana na hayati!!! hawezi kujitetea.....ila hauwezi ukasimama kariakoo kumsema vibaya

pole
Kama ziko weak ziweke zako ambazo ni strong kama hata unazo!

Nisimame kariakoo ili iweje??? Huu ndo ukweli halisi kuhusu huyo mpuuzi wenu aliyelala hapo Chato.

Kama unateseka sana tafuta juice ya ndimu unywe hapo Chato!
 
Eee bhana eeee !!
 
KUNA HAJA GANI YA KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA MISHAHARA WAKATI WANASHINDANA KUIBA PESA ZA KIASI KIKUBWA NAMNA HII?
 
Kama bado wapo wanaoamini Nyerere ni Rais, hata hao wapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…