Jamani mapenzi nikitu muhimu na mapenzi nikitu chakushikwa kama chupa yenye madini ya nyukilia!!Namapenzi nikitu kigumu kuyahandle hivyo vyote nikuonyesha mapenzi nikilakitu kwenye maisha yetu!Hakuna hasiyejua hili!!
Napenda kufahamu kwa wote ambao mlishaingia kwenye mapenzi na kutoka Je Niyupi hasa anaumia sana pale mwenzake anapomuacha (kupigwa kibuti) wakati anampenda mwenzako!!naukiachwa unajifariji kwa lipi??
mapenzi yako kama dini. (nn original).
kwani dini ikoje mkuu,...
Sawa lakini kuna ambao huwa hawawezi kustaimili ile mikiki ya kuachwa kati ya mwanaume na mwanamke je ni gender gani inaumia sana akiachwa??wapo wanao achwa lakini anaumia lakini anpoa lakini kunagender zingi hawawezi kuvumilia!!anaeachwa ndio anaeumia, mara nyingi muachaji huwa amejipanga/amedhamiria, haina madhara kwake kam kwa anaemuacha....
anaeachwa ndio anaeumia, mara nyingi muachaji huwa amejipanga/amedhamiria, haina madhara kwake kam kwa anaemuacha....
Inategemea!! mi nikiachwa kabla cjamfokonyoa inauma kishenzi ila kama tayari wala ht mshipa w **** hauchezi.
Inategemea mlishafika stage gani. Kwani hata anayempiga mwenzie buti anaweza fanya hivyo uku roho inauma
avatar yako tu...lol
Mapenzi yako kama dini. (NN original).
avatar yako tu...lol