Kutokea Mikoani

Kutokea Mikoani

Mama mimi

Senior Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
105
Reaction score
125
Wakuu habari zenu, Mie wakuja hapa ndani kutokea huku panapojuliaka kama mikoani, napenda na kukithamini Kiswahili... Nilikuwa mwenyeji Lakini nimeamua kuwa mwenyeji zaidi. Ushirikiano wenu
 
"E="Mama mimi, post: 26360407, member: 480669"]Wakuu habari zenu, Mie wakuja hapa ndani kutokea huku panapojuliaka kama mikoani, napenda na kukithamini Kiswahili... Nilikuwa mwenyeji Lakini nimeamua kuwa mwenyeji zaidi. Ushirikiano wenu[/QUOTE]
"karibu sana. mkoa upi unatokea ? .
 
Karibu sana.
Pole kwa BAN maana inaonekana imekutenda sivyo.

Ungekuwa mgeni kabisa ningekuvamia PM, Ila kwa kuwa si mgeni sana ngoja nitafute kichwa kipya nikivamie.
 
Karibu mama wewe!

Nawakubali sana wamama wa mikoani. Wanakuaga iron ladies kweli kweli kama mama yangu!
 
"E="Mama mimi, post: 26360407, member: 480669"]Wakuu habari zenu, Mie wakuja hapa ndani kutokea huku panapojuliaka kama mikoani, napenda na kukithamini Kiswahili... Nilikuwa mwenyeji Lakini nimeamua kuwa mwenyeji zaidi. Ushirikiano wenu
"karibu sana. mkoa upi unatokea ? .[/QUOTE]Mikoa ya Kanda Kati
 
Back
Top Bottom