Kwa hiyo hapo kuna wataalam wa Quantity Survey? Au ni kunyosha vidole na kuinua macho?
Miradi iliyojengwa mwaka 2016/17/18 mbona haikukaguliwa?
Mwanza waliambiwa Serikali haijatoa pesa ndo maana miradi imesimama. Nikasubiria Diallo amtumbue ambaye alichelewesha pesa lkn wakaishia kuinua macho kwenye paa, kuta, huyoo..