Kutokoma kwa hedhi, msaada madaktari

Nyaflora

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
14
Reaction score
0
Hali hii imenitokea miezi mitatu sasa,siifurahii na inaniondolea kujiamini.Situmii vidonge wala sindano vya majira.
 
Na mm naomba msaada wa kitaalam pia. Mke wangu amepatwa na hedhi kwa zaidi ya wiki sasa. Nini tatizo na tufanyeje? Natanguliza shukrani.
 
Hii husababishwa na kutobansi kwa vichocheo katika mwilini.
Kwa ushauri zaidi amwone daktari aliye karibu naye au 0758986658 kwa ushauri zaidi
 
Kwani ulishawahi kutoa mimba kama hujawahi jaribu kuonana na madaktari upate tiba sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…