Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.
Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika.
Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu wanapekua Taarifa na kujua mahali mkamatwaji anapopelekwa.
Kauli mbiu ya utii wa wa sheria bila shuruti inatumika vibaya kwa kusababisha watu wadhanie ni kutii kukamatwa na kujua mbeleni sababu za kukamatwa kwa kuogopa kuwa ukikataa utaonekana hujatii sheria.
Wasalaam.