Kuna sheria imetoa kinga kwa vyombo vya ulinzi na usalama kutoshtakiwa.. Shida imeanzia hapo.. Ikiondolewa hii sheria mambo yatabadilika sanaNimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.
Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika.
Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu wanapekua Taarifa na kujua mahali mkamatwaji anapopelekwa.
Kauli mbiu ya utii wa wa sheria bila shuruti inatumika vibaya kwa kusababisha watu wadhanie ni kutii kukamatwa na kujua mbeleni sababu za kukamatwa kwa kuogopa kuwa ukikataa utaonekana hujatii sheria.
Wasalaam.
Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.
Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika.
Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu wanapekua Taarifa na kujua mahali mkamatwaji anapopelekwa.
Kauli mbiu ya utii wa wa sheria bila shuruti inatumika vibaya kwa kusababisha watu wadhanie ni kutii kukamatwa na kujua mbeleni sababu za kukamatwa kwa kuogopa kuwa ukikataa utaonekana hujatii sheria.
Wasalaam.
Hiyo sheria inakinga vipi watekaji/wakamataji ambao hawatambuliki? Wangetambulika wangeshtakiwa nje ya cheo. Sasa hawatambuliki.Kuna sheria imetoa kinga kwa vyombo vya ulinzi na usalama kutoshtakiwa.. Shida imeanzia hapo.. Ikiondolewa hii sheria mambo yatabadilika sana
mtu akikukamata kwa nguvu na huamini kama ni polisi, jipige picha tuma, ama la, pambana kujitetea kwa namna yeyote. ni polisi jambazi huyo.Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.