Kutokufika kileleni kwa mwanaume, No sperm count at all

Kutokufika kileleni kwa mwanaume, No sperm count at all

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello members wa JF ,nini kinachosababisha kwa mwanaume wakati wa kufanya tendo la ndoa asitoe mbegu kabisa inatoka tuu hewa na uume unakuwa hauna nguvu vizuri ?

Na kama kuna dawa au ushaurii please. Je Kisukari kinaweza kumaliza kabisa sperms cout?

Msaada tafadhali, Have a nice day🙂
 
pole sana kila jambo ni mpango wa mungu so kua mpole tu zamu yako ndo imekwisha ivo no way out
 
Naomba nijulishwe kwanza, wakati inakutokea hivyo unakuwa umeenda round ya ngapi?
 
Jitahidi kula vyakula vya asili..punguza kula nyama.na pia punguza kupiga punyeto
 
Hamna hata cha round moja Ndugu lubajaro ni hewa tuu inatoka
 
Back
Top Bottom