Kutokuingia period

Kutokuingia period

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Wajuzi mnisaidie, huyu mwanamke alitakiwa aingie MP kuanzia tarehe 24/08/2019 lakn mpaka leo hajaingia ila dalili zote anazipata ikiwemo maumivu yale anayoyapataga akiwa period!

Wiki iliyopita alitumia dawa za UTI, je inaweza ikawa ni sababu!??
 
Sometimes huwa kunatokea hormonal changes na interruptions due to Extreme stress, au kutumia contraceptions, ama Illness au medications kama hzo dawa anazotumia.. so kama anauhakika Hana mimba.. just arelax kila kitu kita restore.. hayo maumivu huwa pia yanatokea ukiwa na hiyo situation.
 
Ukikosa period mwanamke kitu cha kwanza ni kupima mimba. Sasa badala mpime. Mnakuja kuuliza huku mnajichelewesha kuanza clinic.
 
Sijui mna umri gani wewe na huyo mwanamke.
 
Kwahiyo huitaki hiyo mimba au ni vipi?maana ni siku 6 tu zimepita unaingia na wasiwasi,kama amepata mimba si ndio vizuri au ulikuwa huna mpango na huyo mwanamke au hukujua ulichokuwa unakifanya kutatokea nini...?
 
Tatizo Ni Yeye Ni Mama Kijacho Na Wewe Ni Baba Kijacho.

Pongezi Kwako Mkuu
 
Ukikosa period mwanamke kitu cha kwanza ni kupima mimba. Sasa badala mpime. Mnakuja kuuliza huku mnajichelewesha kuanza clinic.
Anauhitaji mkubwa wa elimu ya uzazi msaidie tafadhali
 
Kama sio mama kijacho njia anayotumia kuzuia mimba inachangia pia kutopata hedhi kwa baadhi ya watu especially matumizi ya sindano

Cc Kingsman
 
unaMIMBA bila shaka!!
1567147790631.png
1567147790631.png
 
Ulisex nae siku ya hatari? Huwa anatumia dawa za kuzuia mimba? Mfano p2 au uzazi wa mpango?

Muda mwingine dalili za period hazitofautiani saaana na za mimba. Kama unajia hamjakutana kimwili basi arelax, period ataingia tangu, mbali na hapo kuna mauchafu huenda yakawepo tumboni.
 
Wajuzi mnisaidie, huyu mwanamke alitakiwa aingie MP kuanzia tarehe 24/08/2019 lakn mpaka leo hajaingia ila dalili zote anazipata ikiwemo maumivu yale anayoyapataga akiwa period!

Wiki iliyopita alitumia dawa za UTI, je inaweza ikawa ni sababu!??
Kwa hiyo wewe unajua kufanya kwata ya singe tu, kwata ya kupima mimba hutaki?
 
Back
Top Bottom