Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Sometimes huwa kunatokea hormonal changes na interruptions due to Extreme stress, au kutumia contraceptions, ama Illness au medications kama hzo dawa anazotumia.. so kama anauhakika Hana mimba.. just arelax kila kitu kita restore.. hayo maumivu huwa pia yanatokea ukiwa na hiyo situation.Wajuzi mnisaidie, huyu mwanamke alitakiwa aingie MP kuanzia tarehe 24/08/2019 lakn mpaka leo hajaingia ila dalili zote anazipata ikiwemo maumivu yale anayoyapataga akiwa period!
Wiki iliyopita alitumia dawa za UTI, je inaweza ikawa ni sababu!??
unaMIMBA bila shaka!!Nina hamu ya kupata kifungua kinywa cha Konyagi na Chapati
Nasisitiza. . . . . . .Mimba mme pima?
Anauhitaji mkubwa wa elimu ya uzazi msaidie tafadhaliUkikosa period mwanamke kitu cha kwanza ni kupima mimba. Sasa badala mpime. Mnakuja kuuliza huku mnajichelewesha kuanza clinic.
Kwa hiyo wewe unajua kufanya kwata ya singe tu, kwata ya kupima mimba hutaki?Wajuzi mnisaidie, huyu mwanamke alitakiwa aingie MP kuanzia tarehe 24/08/2019 lakn mpaka leo hajaingia ila dalili zote anazipata ikiwemo maumivu yale anayoyapataga akiwa period!
Wiki iliyopita alitumia dawa za UTI, je inaweza ikawa ni sababu!??
ajaribu na kwata ya silaha[emoji28][emoji28]Kwa hiyo wewe unajua kufanya kwata ya singe tu, kwata ya kupima mimba hutaki?