Kutokukamilika kwa Mradi wa Umeme Rufiji mwaka 2022 kama ilivyotakiwa na sasa Kukamilika 2024 ni Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Dkt. Magufuli

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini.

Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano.

Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani hujatupa Watanzania sababu za Kueleweka halafu hapo hapo tena unataka tukupe / tuwapeni Ushirikiano. Ni kwanini mnapenda sana kuwafanya / Kutufanya Watanzania wote ni Mazongole ( Wapumbavu ) kiasi hiki?

Halafu kwa Uzongole ( Upumbavu ) huu baadhi yetu Watanzania tukiwa tunamkumbuka Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli mnasema ni SUKUMA GANG au mnasema ni WAPINZANI au mnasema kuwa tuna CHUKI TU BINAFSI na Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan.

Hayati Rais Dkt. Magufuli tulimpenda na tutaendelea Kumkumbuka kwakuwa alikuwa Makini, Mthubutu na Msimamizi mzuri wa Miradi mbalimbali ili iende na wakati ambao ulipangwa na Mkandarasi / Wakandarasi.

Naanza kuhisi sasa kuwa yawezekana Watu wengi ama tukamlaumu au tukamchukia Rais Samia kwa tunayoyaona yakitokea kumbe ikawa huwa si kwa Maelekezo yake isipokuwa tu kuna Mazongole ( Wapumbavu ) ambao si tu wanamharibia bali huenda pia wakawa Wanamharibia kwa Makusudi na Kimkakati ili 2025 awe na Mlima mrefu wa Kuupanda.

Hayati Rais Magufuli atakumbukwa tu.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA

Mnamuongelea simba wa Yuda mbona kadhalilishwa sana na kumsingizia mambo kibao ambayo sio yake

Hii nchi saivi imekua shamba la bibi kwa maskini na furaha na shangwe kwa matajiri
 
Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini.

Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano.

Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani hujatupa Watanzania sababu za Kueleweka halafu hapo hapo tena unataka tukupe / tuwapeni Ushirikiano. Ni kwanini mnapenda sana kuwafanya / Kutufanya Watanzania wote ni Mazongole ( Wapumbavu ) kiasi hiki?

Halafu kwa Uzongole ( Upumbavu ) huu baadhi yetu Watanzania tukiwa tunamkumbuka Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli mnasema ni SUKUMA GANG au mnasema ni WAPINZANI au mnasema kuwa tuna CHUKI TU BINAFSI na Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan.

Hayati Rais Dkt. Magufuli tulimpenda na tutaendelea Kumkumbuka kwakuwa alikuwa Makini, Mthubutu na Msimamizi mzuri wa Miradi mbalimbali ili iende na wakati ambao ulipangwa na Mkandarasi / Wakandarasi.

Naanza kuhisi sasa kuwa yawezekana Watu wengi ama tukamlaumu au tukamchukia Rais Samia kwa tunayoyaona yakitokea kumbe ikawa huwa si kwa Maelekezo yake isipokuwa tu kuna Mazongole ( Wapumbavu ) ambao si tu wanamharibia bali huenda pia wakawa Wanamharibia kwa Makusudi na Kimkakati ili 2025 awe na Mlima mrefu wa Kuupanda.

Hayati Rais Magufuli atakumbukwa tu.
Anatakiwa kuzidi kutukanwa zaidi huko shimo la hewa.
 
Yeye mwenyewe akiwa hai na akiwa madarakani mradi ulikua nyuma,sababu hela hakuwa nazo
Kwani hawa mapimbi wanelewa basi?
Waulize wakati anafariki mradi ulikuwa asilimia ngapi ili kuwe na uwezekano kwamba 2022 ungefanya kazi
 
Yeye mwenyewe akiwa hai na akiwa madarakani mradi ulikua nyuma,sababu hela hakuwa nazo
Pesa gani hakuwa nazo JPM nakati mlikuwa mnalalamika kwanini alikuwa akinunua ndege za ATCL kwa kesh badala ya kukopa [emoji848]

Mkiwa waongo pamoja na UNAFKI wenu basi muwe na kumbukumbu nzuri [emoji851]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom