DONGOLI ELIAS BUGALIKA
New Member
- Dec 8, 2024
- 3
- 3
MADAI YA FIDIA KWA MWEKEZAJI WA MGODI NA. 2 Lubaga, Mkoa wa Simiyu.
Kwa nini hawajajitokeza kujibu, Malàlàmiko yangu ya kuhàribiwa bústàñí yàngu niliyoyatoà hivi Karibuní kwenye jukwaa hili nikiwatuhumu AFISA MADINI MKOA wa Simiyu na ÀFISA MTENDAJI wa Katà ya Dutwà kushindwa kufuata maelekezo ya Afisa kilimo Katà ya Dutwà waliyemwagiza wao wenyewe kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya atathimini uharibifu wà bustaní za walàlamikaji sita na akatàthimini Kama ilivyoonesha kwenye vielelezo.
Lakini, walalamikà watàtu tu ndiyo walilipwa Kama nilivyo onesha vielelezo katika mandiko yangu yaliyo tangulia kwenye Jukwaa la Vidokezo.
Kufuatia Hali hiyo basi,Mimi na wenzagu wawili hatukuweza kulipwa kwa màdai eti màdai yeti yanashughulikiwa, eti atatuita,lakini Mpakà Sasa hivi hatujapokea wito wowote. Nashangaa kwa nini Mamlaka za juu ziagize mamlaka za chini zipuuzie?
KAMA HAWAWEZI BASI,NAOMBÀ MAMLAKÀ ZINAZOHUSIKA AKIWEMO WAZIRI WÀ MÀDINI NA WAZIRI WA MAZINGIRA WAINGILIRIE HILI ILI KUNUSURU MAISHA YANGU NA FAMILIAYÀNGU KWANI MIMI NI MKULIMA.
Nategemeà Kilimo
Soma; DOKEZO - Madai ya uharibifu wa Bustani