Tetesi: Kutokulipwa wakandarasi songea mradi wa umene

chimbondi

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
393
Reaction score
68
Wizara ya nishati na Tanesco

Je mnajua kuwa waliojihusisha na ujenzi kutoka makambako mpaka songea hawajalipwa na hiyo kampuni ya KALPATARU YA INDIA?
Na wanaowadhurumu ni watanzania wazawa wametumia pesa zao tena za mikopo the Leo hawalipwi tangia mwaka Jana mwezi wa 4 mpka Leo wanawazungusha watanzania
Je mlipotaka KOMREDI magufuli aje azindue huo mradi wakati watu wanadai hamuoni kama mngeonekana ninyi kama wizara mngemdandanya Raisi Leo hii hii kampuni mnaipatia kazi nyingine huko singida ili waendelee kuwadhurumu watanzania Tanesco na wizara fuatilieni hill kabla hatujaenda mbele kulalamika
Asante
Ni sisi wazawa tulioshiriki ujenzi na tunanasumbuliwa na malipo
 
Tansia yetu ya ujenzi ina dhuluma nyingi sana. Mkandarasi lazima uwe cautious and ruthless at the same time otherwise unaumia sana. Mimi kuna madeni mpaka nimeyasamehe manake nadai zaidi ya miaka 4 sasa.
 
Wizara ya nishati na Tanesco

Je mnajua kuwa waliojihusisha na ujenzi kutoka makambako mpaka songea hawajalipwa na hiyo kampuni ya KALPATARU YA INDIA?
Na wanaowadhurumu ni watanzania wazawa wametumia pesa zao tena za mikopo the Leo hawalipwi tangia mwaka Jana mwezi wa 4 mpka Leo wanawazungusha watanzania
Je mlipotaka KOMREDI magufuli aje azindue huo mradi wakati watu wanadai hamuoni kama mngeonekana ninyi kama wizara mngemdandanya Raisi Leo hii hii kampuni mnaipatia kazi nyingine huko singida ili waendelee kuwadhurumu watanzania Tanesco na wizara fuatilieni hill kabla hatujaenda mbele kulalamika
Asante
Ni sisi wazawa tulioshiriki ujenzi na tunanasumbuliwa na malipo
Msilalamike tu, ajirini mwanasheria na mfungue madai ya kisheria, alimradi mlikuwa na mkataba.
 
Makandarasi siwaamini unakuta mradi unagharimu milioni 10 lakini yeye anadai milioni 50, sijui kwanini tusiajiri mafundi tukalipana kutwa tukamalizana.
Mkandarasi akidai milioni 50 uki audit unaweza kuta deni halisi ni milioni 10 tu.
 
Msilalamike tu, ajirini mwanasheria na mfungue madai ya kisheria, alimradi mlikuwa na mkataba.
Hawa unaweza kuta mkandarasi aliishalipwa anasumbua vibarua tu. Yani wanalalamika ili vibarua waamini pesa haijatoka. Wakandarasi pesa huwa haziwatoshi, hata walipwe vipi hawaishi kulalamika. Quantity surveyor akikupigia gharama halisi ya mradi unaweza kuta mkandarasi anadaiwa. Huwa siwaamini hawa hata kidogo.
 
Soma vizuri mtoa mada kasema nini.
Katika ukandarasi lazima pawepo na contract , na hiyo contract ina ainisha malipo yalalipwa wakati gani na kiasi gani.
Kama kazi imekamilika ni lazima kulipwa kulingana na mkataba.

Kama kazi imefanywa na kupokelewa na mtoa kazi, basi ni kukiuka mkataba malipo yasipotoka.

Na hapo madai yanaweza funguliwa mahakamani.
 
Point ni kwamba hawa main contractor ni wahindi kampuni ya KALPATARu ni matapeli wanashirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali ,maana wazawa wamefanya kazi

Kwenye malipo wamekuwa wasumbufu then serikali inawapa kazi nyingine wakawadhurumu wazawa tena huko singida nafahamu waziri husika hajui uhalifu huu was hii kampuni kama imedhurumu watu wengi tu huko songea yaani madaba na njombe RE wa mradi anajua haya yote waoneeni huruma watanzania wenzenu jamani khaa mpk Mh Raisi aingilie kati?
 
Hivi watanzania nani katuroga?
Issue za msingi kama hizi watanzania
Wanakaa kimya ikitupiwa issue ya Lissu au Lipumba hapa wachangiaji million
Kazi kweli kweli hawa wahindi ni hawafai
Mwenye muda awafuatilie atakuja sema hapa
Ni zaidi ya mabeberu
 
Wizara ya nishati na Tanesco

Je mnajua kuwa waliojihusisha na ujenzi kutoka makambako mpaka songea hawajalipwa na hiyo kampuni ya KALPATARU YA INDIA?
Na wanaowadhurumu ni watanzania wazawa wametumia pesa zao tena za mikopo the Leo hawalipwi tangia mwaka Jana mwezi wa 4 mpka Leo wanawazungusha watanzania
Je mlipotaka KOMREDI magufuli aje azindue huo mradi wakati watu wanadai hamuoni kama mngeonekana ninyi kama wizara mngemdandanya Raisi Leo hii hii kampuni mnaipatia kazi nyingine huko singida ili waendelee kuwadhurumu watanzania Tanesco na wizara fuatilieni hill kabla hatujaenda mbele kulalamika
Asante
Ni sisi wazawa tulioshiriki ujenzi na tunanasumbuliwa na malipo
kwa nini mlijenga kwa mkopo,au mlikuwa mnajipendekeza\ kwa main contractor, siku nyingine mjifunze no money no work atafute sub mwingine na kama atakuwa na hela ya kuwalipa kuvunja mkataba.
 
Nenda wewe India ukawadhurumu wahindi kama utatoka salama
 
Back
Top Bottom