Ohh, ngoja wataalam zaidi watakuja mkuu.All the best
Pole mnoHabari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu
Kama uliambiwa mayai hakuna sidhani kama kuna njia ya kurudisha au kutengeneza mayai me nadhani badala ya kuendelea kupoteza pesa kwa tiba asili na ma hospitali ni vema ukaikubali hali na kutafuta njia ya kupata mtoto za kitaalamu au ku adopt
Vile vile unaweza kuwaona madaktari bingwa wakahakikisha kama kweli mayai hamna au ni tatizo lingine tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipo Dar... Ninaenda kwenye maombi sana tuPole mno
Sikufanyi uamini uchawi, ila wenye nguvu zao za Giza wananyonya hayo mayai ili usipate mtoto,
Upo mkoa gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana dadaanguHabari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaPole Sana dadaangu
Mungu ni akutie nguvu
Kuna mambo mengi Kwa binadamu hayawezekani
Kwa Mungu yanawezekana
Utafute Sana uso WA Mungu
Hakika atasikia kilio chako
Nina ushuhuda WA mama Fulani
Alikuwa na Tatizo Hilo na Alikuwa Hana matiti
Lakini Mungu alimfungua mpaka sasa ni mzima kabisa
Mungu wetu
Huanzia ambapo sisi akili zetu zikiwa zimefika mwisho
Yeye ndo anaanza kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
sina tatizo na kuadopt...Umeshawahi kufikiria ku adopt mtoto,hutajutia,ila inaonekana wadada au wamama wengi wa kiafrika hili swala hawalipendi,unakuta mtu msomi na elimu nzuri,pesa na mali anazo,umri unampita hana mtoto kazi kusomesha watoto wa ndugu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mydearHabari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao madaktari walijuaje kama hauna mayai? Walikupima kwa njia ipi hata wao wakajua hivyo?Habari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina Anaemia mkuu...Hao madaktari walijuaje kama hauna mayai? Walikupima kwa njia ipi hata wao wakajua hivyo?
Kuna maradhi yanaitwa Anemia nayo hufanya ukakosa hedhi pia. Je unazo dalili hizi?
1 Hukosa nguvu
2 Kila wakati unajisikia kulala
3 Unachoka mara kwa mara
4 Huumwa kichwa mara kwa mara
5 Pumzi hupata kwa tabu
6 Maumivu ya kifua
7 Mikono na miguu huwa na baridi sana
8 Ngozi yako hupayuka au huwa na umanjano
Pole Sana dada, muone daktari bingwa but vile vile unaweza kutumia njia masala kupata mtotoHabari, Nahitaji msaada wenu.