Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa nini watu hawapendi kuingia ubia kwenye biashara;unafikiri sababu ni nini?
Kwa mtazamo wangu nafikiri:-
Kwa mtazamo wangu nafikiri:-
- Ni kila mmoja kutaka kuonekana mkubwa/boss.
- Kuogopa kutapeliana n.k