Kutokupenda kuingia ubia katika biashara

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kwa nini watu hawapendi kuingia ubia kwenye biashara;unafikiri sababu ni nini?
Kwa mtazamo wangu nafikiri:-
  • Ni kila mmoja kutaka kuonekana mkubwa/boss.
  • Kuogopa kutapeliana n.k
Je,sababu zinaweza kuwa hizo tu?
 
Elimu ya ubia haijafundishwa vizuri!... wangapi wanajua majukumu ya washirika katika ubia?.. wangapi wanajua faida na mgawanyo wake kwenye ubia?.
ELIMU!
 
Laiti kama ungeingia ubia kufanya deal lolote la biashara na mbantu, wallah ungekuwa na majibu. Kafaida ni trip ya Kwanza tu, ya pili sound zinaanza, ya tatu mtaji unaanza kuliwa ya nne mmeshakuwa maadui.
ha ha ha ha ha,kwa nini inakuwa hivyo mkuu?
 
Wick,
Ni kweli elimu ni muhimu,ingawa inaangukia kwa mtu binafsi mwenye nia ya kufanya hilo jambo.
 
Changamoto ipo kwenye kupata Mtu mnayeendana mtazamo. wapo wachache sana.

Sasa balaa ukute mwenzako anaamini mambo ya giza na wewe huyataki.
 
Changamoto ipo kwenye kupata Mtu mnayeendana mtazamo. wapo wachache sana.

Sasa balaa ukute mwenzako anaamini mambo ya giza na wewe huyataki.
ha ha ha ha ha
 
Kwa nini watu hawapendi kuingia ubia kwenye biashara;unafikiri sababu ni nini?
Kwa mtazamo wangu nafikiri:-
  • Ni kila mmoja kutaka kuonekana mkubwa/boss
  • Kuogopa kutapeliana n.k
Je,sababu zinaweza kuwa hizo tu?

Hii sababu ya pili nafikiri ndio zaidi maana sasa hivi matapeli wengi sana mjini, lakini pia elimu ni nayo hatuna kuhusu ubia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…