Kutokuvaa chupi mara kwa mara kwa Jinsia zote husababisha Viungo vya Uzazi kuwa imara na kuvutia!

Kutokuvaa chupi mara kwa mara kwa Jinsia zote husababisha Viungo vya Uzazi kuwa imara na kuvutia!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kumekucha.......

Kazi ipo hakyanani!

Shikamooni ' Watafiti ' wote duniani na wale ambao bado mpo Vyuo Vikuu.

Nawasilisha.
 
tafiti zinaonesha . Wanaume wengi mashine zimepinda sababu ua kuvaa chupi mashine unailaza upande. Mwisho wa siku ikisimama inalalia au kuelekea upande .ni kama ukivunjika ukifungwa hogo limepinda siku ya kulitoa hogo na kiungo kinabaki kimepinda.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna tafiti ilisema mwanaume akivaa chupi anapungukiwa nguvu z kiume hile biashara chupi za kiume ilikufa pale pale maana ilikuwa kwa kasi ya ajabu na tokea tangazo la tafiti lile biashara iliporomoka kwa kasi
 
Kwa mtazamo wangu... mwanamke ni sawa kabisa kuvaa chupi, anajisitiri au kujikinga na mengi kutokana na maumbile yao...

Ila kwa sisi wanaume ni maamuzi yako... ndiyo maana zikaanzishwa boxer...


Cc: mahondaw
 
sasa nyie akina dada msipovaa chup,kwenye yale mambo yenu itakuwaje sasa??
 
Back
Top Bottom