Kutokuvaa chupi mara kwa mara kwa Jinsia zote husababisha Viungo vya Uzazi kuwa imara na kuvutia!

Kwa mtazamo wangu... mwanamke ni sawa kabisa kuvaa chupi, anajisitiri au kujikinga na mengi kutokana na maumbile yao...

Ila kwa sisi wanaume ni maamuzi yako... ndiyo maana zikaanzishwa boxer...

Cc: mahondaw

Hahahahaha wengine wasipova boxer ni noumaaarrrrrrr tehteh..
 
Hahahahaha wengine wasipova boxer ni noumaaarrrrrrr tehteh..

Hahaha... umenikumbusha siku ile Cape town Fish Market... ati waniuliza Smart911 nini hicho... nikakumbia... nikaushie sijavaa boxer... hahaha ukaja kunikalia ati unaniziba mpaka nipoe... ndiyo ukanizidishishia kusimama...
 
Hahahahaha.. wacha nifunge domo langu tu make mhmhmh!!!!!!! Kuna watu wana..... jamani jamani mweeeh!!
 
Labda amehisi kuwa pengine umetukuka katika Kuzivaa Mkuu.
Nilitegemea mawazo binafsi kuhusu hili kwasababu kuna uzi wako wa utafiti una similar case ingawa unazungumza kwa upande mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…