Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani we dada nakutamani kweli,ama kweli kuna watu wanabarikiwa na mungu,hivi amefikiria nini mpaka kukunyima hizo nywele za kwapa? hongera shostito,hapa nilipo nachanga hela ili niende nikafanye leather surgery ili kutoa nywele za kwapa.Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo.naomba kuuliza wataalam mliopo hapa kuna kasoro zozote ambazo ninazo?
Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo.naomba kuuliza wataalam mliopo hapa kuna kasoro zozote ambazo ninazo?
yaani we dada nakutamani kweli,ama kweli kuna watu wanabarikiwa na mungu,hivi amefikiria nini mpaka kukunyima hizo nywele za kwapa? hongera shostito,hapa nilipo nachanga hela ili niende nikafanye leather surgery ili kutoa nywele za kwapa.
usiziombee kabisa,zinakera nakufanya kwapa jeusi hata kunyanyua mkono unashindwa.