Kutokwa damu uken wakat wa ujauzito

Shinoyankela

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Naomba ushaur wenu jaman mm ninaujauzito lkn ninamatatizo ya kutokwa damu uken cyo nying sana pia haitok mara kwa mara pia ujauzito wangu ni mkubwa tu na ni cku za matarajio na damu hzo zimeanza ndan ya wik hii tu je ni hali ya kawaida au ni tatizo naomba msaada wenu madactar wa jf
 
Usiwe na wasi wasi mama kijacho, iyo wanaita damu ya kupunguzia, lakin km ni nyeus kidogo mtihani. Itatoka inategemea than itakata wenyewe, ukipata mtoto wakike nambie niwe mkwe wako.
 
Usiwe na wasi wasi mama kijacho, iyo wanaita damu ya kupunguzia, lakin km ni nyeus kidogo mtihani. Itatoka inategemea than itakata wenyewe, ukipata mtoto wakike nambie niwe mkwe wako.

nashukuru kwa ushaur wako ila ucjal coz ww umefanya booking mapema tumuombe mungu 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…