Kutokwa mapovuKwa mtu aliyekula sumu.

Kutokwa mapovuKwa mtu aliyekula sumu.

Tzabway

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
262
Reaction score
170
Habari zenu ni matumaini yangu muwazima wa afya, pia poleni kwa mihangaiko ya maisha ya kila siku Niende kwenye mada.

Kuna jambo huwa linanishangaza sana, ikitokea mtu amekula sumu (bahati mbaya au kwa makusudi) huwa kuna mapovu anayatoa mdomoni. Naomba kujuzwa Haya mapovu yanatokana na nini?

Natanguliza shukrani.
 
mpe maziwa kama amekunywa kwa bahati mbaya.kama kanywa mwenyewe acha kuharibia watu mipango yao
 
Tumboni kuna sumu ukiweka nyingine inaleta reaction ambayo inaproduce joto linalopelekea kuchemka

Mmh. Hiyo sumu haina madhara kwenye mwili wa binadamu? Au mpaka ikutane na sumu nyingine ndio inaleta madhara?
 
Back
Top Bottom