Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Maziwa yanatoka sana ;amejaribu kuwauliza ambao tayari wana watoto wengi wanasema hiyo hali hawajapitia sasa mimi kwangu naona kama ni Tatizo.Tatizo wapi mkubwa hapo mwili unapitia mabadiliko mengi na makubwa sana kujiandaa na zoezi la kuleta kiumbe kipya.
Sasa ni wakati muafaka wa wewe kuacha kumnyonya mwenzako, subiria zamu yako.
Maziwa yanatoka sana ;amejaribu kuwauliza ambao tayari wana watoto wengi wanasema hiyo hali hawajapitia sasa mimi kwangu naona kama ni Tatizo.
Asante sana mkuu
Bado hajatoa taarifa mkuuHaya mambo yanatofautiana kati ya mtu na mtu. Inaweza isiwe tatizo ila kwa kuwa waliowengi hawajapitia hiyo hali, wasiwasi lazima uwepo.
Ameshatoa taarifa anapohudhuria clinic?
Bado hajatoa taarifa mkuu
Asante mkuuMabadiliko ya kimwili usiwe na wasi, kuwa makini unapoenda nae clinic wasije kumpa dawa zikamzudhuru wakati atakapokuwa na mtoto, namaanisha zikaja kumsababishia mtoto kutokupata maziwa ya mamayake
Me sikujua hiyo hali hata yeye hakujua kila mtu akimuuliza ambaye ameptia hiyo hali anasema haijamtokea.Wengine wanalia maziwa hayatoki..ww unalia maziwa yanatoka..kweli mungu anakazi sana