SOKONI
Senior Member
- May 23, 2013
- 171
- 40
Wazee wangu naombeni msaada, leo kidushelele changu kilikuwa kinawasha sana na baada ya kukojoa ikatoka damu kidogo sana, je hili ni tatizo gani,nifanyeje naomba msaada.
Je hii inaweza kuwa na uhusiano,ambapo kuna wakati fulani nilitokwa na damu wakati najisaidia haja kubwa. Hali hii ikajirudia baada ya muda mrefu sana kama miaka mitatu na siku moja nikakojoa tena damu nyingi kidogo na haikujirudia tena mpaka leo.
Niliambiwa ninaweza kuwa na mawe kwenye figo lakini wamenichunguza hawajaona kitu. Niliwahi kupima mkojo hawakuona tatizo. Naomba msaada wa ushauri bado sijajua tatizo.
Kama huna ushauri wa kunisaidia usichangie maana haya ni maradhi jamani sio siasa.
Asanteni.