Kutokwa na damu kwenye kidudu

SOKONI

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
171
Reaction score
40
Wazee wangu naombeni msaada, leo kidushelele changu kilikuwa kinawasha sana na baada ya kukojoa ikatoka damu kidogo sana, je hili ni tatizo gani,nifanyeje naomba msaada.

Je hii inaweza kuwa na uhusiano,ambapo kuna wakati fulani nilitokwa na damu wakati najisaidia haja kubwa. Hali hii ikajirudia baada ya muda mrefu sana kama miaka mitatu na siku moja nikakojoa tena damu nyingi kidogo na haikujirudia tena mpaka leo.

Niliambiwa ninaweza kuwa na mawe kwenye figo lakini wamenichunguza hawajaona kitu. Niliwahi kupima mkojo hawakuona tatizo. Naomba msaada wa ushauri bado sijajua tatizo.

Kama huna ushauri wa kunisaidia usichangie maana haya ni maradhi jamani sio siasa.

Asanteni.
 
Pole sana...nakushauri uende na hospitali zingine
 
Pole sana...nakushauri uende na hospitali zingine

asante dada, hatasijui hospitali gani nzuri. niliambiwa tmj ndo wanavipimo vizuri wamechemsha,ngoja nijipange...
 
Pole sana
hata mikocheni hosp wanavipimo vizuri sana; pia wanapokea kadi hata hizi za kawaida.

asante dada, hatasijui hospitali gani nzuri. niliambiwa tmj ndo wanavipimo vizuri wamechemsha,ngoja nijipange...
 
Huu ni uchawi nenda kwa waganga wa kienyeji
 
Wacha kitoke damu tu kwa kuwa huna dushelele
 
kama ni kidudu mtu ... nenda kacheki "urine system yako" kwa wataalamu wa tiba mbadala na tiba za kisasa kisha malizia kwenye maombi mazito na kufunga zaidi ya siku 40.
 
Pole sana
hata mikocheni hosp wanavipimo vizuri sana; pia wanapokea kadi hata hizi za kawaida.
thanks dada ngoja nikawaone, hivi hakunaga specialist wa haya maeneo, na hizi bima za kawaida naweza kumuona specialist ?
 
Nenda hapo mikocheni wapo madaktari wa zuri tu utahudumiwa;
ukitaka ni pm nikupe jina la daktari mmoja pale
ukajifanye ndugu wa karibu atakuhudumia vizuri tu.

thanks dada ngoja nikawaone, hivi hakunaga specialist wa haya maeneo, na hizi bima za kawaida naweza kumuona specialist ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…