Kutokwa na damu puani

Kutokwa na damu puani

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,458
Reaction score
1,432
Habari za muda huu wakuu wa Jf , Leo asubuh saa 12 wakati naamka ghafla niliona damu zinanitoka puani nilichokifanya nikanawa uso then nikafanya kama vile napenga makamasi halafu nikarudi kulala kitandani huku kichwa nimekielekeza juu yaani nililala chali baadaye tatizo likutokwa na damu likaacha.

Hii kitu ilishawahi kunitokea zamani wakati nipo mdogo nikiwa na miaka 8-10, sasa naombeni kufahamishwa hii hasa husababishwa na nini? Na je kuna madhara yeyote makubwa yanaweza kujitokeza baadae.
 
Boss unaishi porini hakuna zahanati wala hospital,
Mambo yanayohusu afya yako ni bora uwahi mapema hospital kuonana na daktari..
Ukitoka kwa daktari ndio uje humu
 
Hata hapa kuna madaktari pia sio kila tatizo uende hospitalini kuna matatizo mengine watu wanauzeufu napo ndo maana yakawepo majukwaa kama haya
Boss unaishi porini hakuna zahanati wala hospital,
Mambo yanayohusu afya yako ni bora uwahi mapema hospital kuonana na daktari..
Ukitoka kwa daktari ndio uje humu
 
Kama huwezi kutoa mchango wowote wa kujenga bora upite angani!!
Boss unaishi porini hakuna zahanati wala hospital,
Mambo yanayohusu afya yako ni bora uwahi mapema hospital kuonana na daktari..
Ukitoka kwa daktari ndio uje humu
 
Hata hapa kuna madaktari pia sio kila tatizo uende hospitalini kuna matatizo mengine watu wanauzeufu napo ndo maana yakawepo majukwaa kama haya

Nimewai kusikia kwamba kutokwa na damu puani kunaweza kusababisha mtu kupata matatizo ya magonjwa ya akili
 
Sky Eclat uzi unakuhusu huu hebu fanya kama unajikuna uje kumwaga nondo hapa
Plus ina vimirija vingi vya damu ambavyo Biko karibu na ngozi. Vimirija hivi ni rahisi kupasuka kama ngozi ya pua ni kavu au kuna ugonjwa.

Kunachosabisha ngozi ya pis kuwa kavu ni hewa kavu.
 
Back
Top Bottom