thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,432
Boss unaishi porini hakuna zahanati wala hospital,
Mambo yanayohusu afya yako ni bora uwahi mapema hospital kuonana na daktari..
Ukitoka kwa daktari ndio uje humu
Boss unaishi porini hakuna zahanati wala hospital,
Mambo yanayohusu afya yako ni bora uwahi mapema hospital kuonana na daktari..
Ukitoka kwa daktari ndio uje humu
Hata hapa kuna madaktari pia sio kila tatizo uende hospitalini kuna matatizo mengine watu wanauzeufu napo ndo maana yakawepo majukwaa kama haya
Kama huwezi kutoa mchango wowote wa kujenga bora upite angani!!
Plus ina vimirija vingi vya damu ambavyo Biko karibu na ngozi. Vimirija hivi ni rahisi kupasuka kama ngozi ya pua ni kavu au kuna ugonjwa.Sky Eclat uzi unakuhusu huu hebu fanya kama unajikuna uje kumwaga nondo hapa