Kutokwa na damu sehemu za siri

Babu mchumi

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
62
Reaction score
11
Habari the great thinkers
Nina mpenz wangu,hayupo period ila kila tukifanya mapenzi damu zinamtoka,je yaweza kua sababu ni nini??hii hali ina kama mwezi sasa hata yeye hajui chanzo chake ni nini.msaada tafadhali
 
Alizoa vitu vikubwa hapo mwanzo, huyo ndio ameanza kupona ww umemtonesha
 
Atakuwa anamiminia Tomato saurce kwenye K yake...!

Lengo ni kukunyima KIBOKSI (Papuchi)
 
Habari the great thinkers
Nina mpenz wangu,hayupo period ila kila tukifanya mapenzi damu zinamtoka,je yaweza kua sababu ni nini??hii hali ina kama mwezi sasa hata yeye hajui chanzo chake ni nini.msaada tafadhali
Mpeleke hospitali akafanyiwe uchunguzi mapema.
 
Aende akapimwe ocean road ,upande wa uchunguzi hiyo ni dalili ya Kansa ya kizazi,asisubiri tatizo liwe kubwa.
 
akapime kansa ya mlango wa kizazi, na kama sio basi huenda aliishawahi kutoa mimba hivi karibuni (wadada hapa hameelewa sana), hivyo chunguza juu ya hili ili apate msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…