Tiba yake mimi ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabarin ndugu,
Naomba kuuliza, mwanamke anapotokwa na hedhi mfululizo bila kukata zaid ya mwez mmoja au zaid, ni nn chanzo chake na nn matibabu yake, mwenye majbu tafadhali.
unajua haya magonjwa ya kijinsia si wanawake wala wanaume wengi huona aibu kuyaelezea, ukiona mtu anaelezea ujue hapo kahangaika sana, hapa mtu anaweza akaandika awezavyo sababu hatumjui lakini suluhisho ni hospitali dawa zipoHormonal imbalance, aende hospitali kuna vidonge vya kuweka hali sawa
Kutokwa na Damu ya hedhi kwa muda mrefu hakusababishwi na Hormone inbalance Kutokwa an damu ya hedhi kwa muda mrefu kunasababishwa na Pepo wachafu waliye muingia mgonjwa hata akienda hospitali hawezi kupona.Au utumiaji wa Vidonge vya kuzuia uzazi wa majira pia vinnachangia kutokwa na Damu ay hedhi muda mrefu au mambo ya uchawi amerogwa huyo mwanamke na maaduwi zake.unajua haya magonjwa ya kijinsia si wanawake wala wanaume wengi huona aibu kuyaelezea, ukiona mtu anaelezea ujue hapo kahangaika sana, hapa mtu anaweza akaandika awezavyo sababu hatumjui lakini suluhisho ni hospitali dawa zipo
Ukiona mtuanaona aibu kuelwzea matatizo yake ujue hajaumwa seriousunajua haya magonjwa ya kijinsia si wanawake wala wanaume wengi huona aibu kuyaelezea, ukiona mtu anaelezea ujue hapo kahangaika sana, hapa mtu anaweza akaandika awezavyo sababu hatumjui lakini suluhisho ni hospitali dawa zipo
Duh! Hii kali[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kutokwa na Damu ya hedhi kwa muda mrefu hakusababishwi na Hormone inbalance Kutokwa an damu ya hedhi kwa muda mrefu kunasababishwa na Pepo wachafu waliye muingia mgonjwa hata akienda hospitali hawezi kupona.Au utumiaji wa Vidonge vya kuzuia uzazi wa majira pia vinnachangia kutokwa na Damu ay hedhi muda mrefu au mambo ya uchawi amerogwa huyo mwanamke na maaduwi zake.
inatibika wasiliana nas 0712770729Habarin ndugu,
Naomba kuuliza, mwanamke anapotokwa na hedhi mfululizo bila kukata zaid ya mwez mmoja au zaid, ni nn chanzo chake na nn matibabu yake, mwenye majbu tafadhali.