Kutokwa na jasho jingi nini tatizo?

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Kutokwa na jasho jingi nini shida??na nini nifanye jasho liwe la kawaida
 
Sidhani kama ni shida mkuu otherwise labda kama unaumwa
 
Hilo jasho linatoka wakati gani na ukiwa katika mazingira gani?

Sio upo gym halafu unatoka jasho ndio unataka kusumbua watu hapa wakujibu. Toa maelezo ya kujitosheleza mkuu.
 
Hata nikiwa natembea japo najua jasho nikawaida kutoka mwilin ila hii ni too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…