el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Hili tatizo nimekuwa nalo tokea kuzaliwa, natokwa na majasho mengi mno mkononi na mguuni tena nikiwa na hofu yanazidi mara mbili pia huwa natetemeka sana asa sielewi huu ni ugonjwa gani maana wataalam wa afya niliowahi kuwaarifu hawajinipa majibu mpaka leo hii