kutokwa na majasho mengi kwenye mikono na miguu na kutetemeka

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Hili tatizo nimekuwa nalo tokea kuzaliwa, natokwa na majasho mengi mno mkononi na mguuni tena nikiwa na hofu yanazidi mara mbili pia huwa natetemeka sana asa sielewi huu ni ugonjwa gani maana wataalam wa afya niliowahi kuwaarifu hawajinipa majibu mpaka leo hii
 
hata mimi ninalo pindi nnapo ongea mbele ya watu wengi sometmes saut haitoki
 
kama inatokea unapojjieleza mbele za watu utakuwwa na tatizo la kisaikolojia tunaita anxiety/panic disorder. tiba ya matatizo ya kisaikolojia yapo ya aina mbilil. kuna cognitive and behaviour therapy (CBT). hapa nia inakuwa ni kukuambia hakuna kitu cha kuogoopa (cognitive). pia kukufanya usiogope na uache kupanic katika mazingira fulani (behaviour). pia kuna matibabu ya dawa, mfano kuna watu hupata hali hii wakiwa wanaongea mbele za watu. hawa hupewa dawa inaitwa propanoolol ambayo husaidia kuwatuliza. nawashauri mjisomee kuhusu anxiety and panic disorders.
 
kuna watu wengi hufikiriaa wamepata heart attack kumbe wamepata panic attack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…