Wakuu,nimekuwa na tatizo la haja kubwa kutoka pale ambapo nimejisikia kukojoa na ninapo jaribu kukojoa.
Hii haijalishi nimejisaidia haja kubwa mara ngapi,nikienda haja ndogo tu,ninapo sukuma,na kiasi cha kinyesi kinatoka!
Naomba msaada:
1/Je,hii ni hali ya kawaida?
2/Inasababishwa na nini?
3/Nini suluhu la tatizo hili?