Mfanyie Culture wa rule out bacteria wanaosababisha tatizo.Heshima kwenu wakuu
Kama kicha cha habar hapo juu mke wangu amekuwa na hili tatizo miez sita sasa amekuwa akitokwa na uchafu ukeni Kama maziwa mgando iv,hii shida ilianza alipopata uja uzito bahat mbaya mimba iliharibika nilimwaisha hospital akapata huduma saf na kusafishwa pia,lakin tangu apo ndo shida ilipoanza nimeenda sono zaid ya mara 6 hana shida,amepimwa saratan hamna ametumia dawa na sindano pia lakn bado shida iko pale pale magonjwa yote ya zinaa tumepima majibu ni hamna,
KWA SASA MKE WANGU AMEKOSA NURU,HAJIAMINI TENA,ANAONEKANA KAMA MTU ALIEKATA TAMAA
msaada wenu wakuu ili aweze kuwa salama tena
MKuu na wewe unapaswa kupima, fanya kipimo cha kuotesha mkojo (Culture) huenda wewe ukawa ni carrier wa fangasi ukawa unamuambukiza yeye. Amini nisemayo, unaweza ukawa una candida kwenye njia ya mkojo ambao wewe hawakudhuru ila ukija kwa mwenzako unamwagia wa kutosha.Nimewai kwenda mkuu aliambiwa ni bacteria ila kila akitumia dawa tatizo haliishi tumerudi kaandikiwa sindano akimaliza dose tatizo liko pale pale
Mkuu mboni hujibu maswali yetu wadau? Tunafanya diagnosis jibu maswali tukupe pa kuanzia au hutaki msaada?Nafanye mkuu ongeza nyama kidogo
Ooho hio sio kawaida ni hatari kwa afya ya mji wa mimba na mirija ya uzazi na hospitali mlifikia hatua gani?Huu ni uchafu mkuu sio ute ni mfano wa mabonge madogo madogo ya mtindi asee yan amekuwa hajiamini kabisa mpaka nuru imepotea
Nimeona umechelewa niliuliza hapo juuSwali gan mkuu mbona najibu kwa wakat
Tukienda ni dawa ni sindano lakin bado tatizo haliishi na tunachoambiwa ni bacteria pia sono aliambiwa kuna shida kidogo kwenye mayaiOoho hio sio kawaida ni hatari kwa afya ya mji wa mimba na mirija ya uzazi na hospitali mlifikia hatua gani?
Anza kujitibu wewe labda ndie unawaingiza hao bakteria kwa mwenzio je wewe umepima? Mkeo hua hauzi mechi huko nje?Tukienda ni dawa ni sindano lakin bado tatizo haliishi na tunachoambiwa ni bacteria
Unatoa harufu?Huu ni uchafu mkuu sio ute ni mfano wa mabonge madogo madogo ya mtindi asee yan amekuwa hajiamini kabisa mpaka nuru imepotea
Nimekuuliza mkeo hana kawaida ya kuuza mechi?Ndio nimewai kupima niko sawa mkuu
Lazima utoe harufu hio haikwepeki tena inabidi uvumilie sanaUnatoa harufu?