Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri

Nawaza sana hivi umesema Uchafu Mweupe au Ute Mweupe? Mzito Maziwa Mgando yaan Mweupe? Uchafu au Ute?
Fungus hiyo mkuu ,kuhusu kutumia dawa lakini changamoto haikomi shida inaweza kuwa hazingatii usafi thus all maana anaweza akawa anatumia dawa lakini usafi hazingatii so far lazima turudi kule kule mkuu pòle sanaaa
 
Pole sana Mkuu, mimi nikupe tu pongezi kwa kujali na kua na huruma kwa Mke wako.
Huo ndo uanaume sasa.
 
Ulipoaribika uja uzito alisafishwa lakin ilionekana hawakumsafisha vizur ikabid wamrudie tena tangu hapo hajawai kuwa sawa
 
Pole sana mkubwa, jitaidi upate dactari bingwa wa magonjwa ya wanawake hasa hasa wa uzazi naamini watamsadia mke wako kuludi katika hali yakawaida. Ila pia ukipata nafasi pale masana Kuna dactari anaitwa Doctor Ndolele pale Masana hospital . Mnaweza kwenda kumuona ana deal sana na magonjwa ya wanawake anaweza wasaidia
 
Hizi changamoto za Wanawake ndio hua zinanifanya nifikirie mara 3 3 kuoa kisha ndani aje aanze kuishi na configuration za ajabu sijui PID mara Fisitula aisee nawaza sana
Usioe kwani lazma
 
Hizi changamoto za Wanawake ndio hua zinanifanya nifikirie mara 3 3 kuoa kisha ndani aje aanze kuishi na configuration za ajabu sijui PID mara Fisitula aisee nawaza sana
Waliooa wanawaonea wivu mabachela 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…