Kutokwa uchafu mweupe sehemu za siri

GlorytoGod

Senior Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
158
Reaction score
50
Mimi nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye muwasho ni mwaka wa 12. Sasa toka tatizo hili linipate nimeshahudhuria hospitali, nimetumia dawa nyingi sana sindano ndio usiseme lakini huo uchafu bado unatoka japokuwa ulikuwa mzito sana lakini sasa umekuwa mwepesi kama maziwa fresh vile na siwashwi tena ila tatizo ni huo uchafu unaotoka.

Kwa yeyote anayejua tiba tafadhali anijuze kwasababu mapajani nina rangi nyeusi mpaka imejichora kabisa inajionyesha ilikoanzi mpaka inakoishia.

Nitashukuru kwa ushauri wenu mtakaonipa.

MIMI NI MWANAMKE, UCHAFU WENYEWE KUNA MUDA UNATOKA NA MUDA MWINGINE HAUTOKI, NA KAMA KUJISAFISHA HUWA NINAJISAIFISHA VIZURI SANA NA SABUNI YANGU NI DETTOL SASA WANDUGU SIJUI TATIZO NI NINI HASWA.
 
  • Wewe ni ME au KE?
  • Mara ya mwisho kutumia dawa ni lini? Na ni zipi?
  • Nini harufu ya 'uchafu' huo?
 
yaweza kuwa ni fangasi hizo au hujisafishi vizuri, hakikisha unanawa na maji ya uvuguvugu na antibacteria, ingiza kidole usafishe mara mbili kwa siku
 

Unauliza alafu unakaa mbali,vipi shemeji unae?
 
pole sana huo uchafu unatoka mda wote au kuna mda maalumu
 
Mleta mada unaomba msaada halafu unashindwa kujibu hoja? Unatakiwa kujibu maswali uliyoulizwa kwanza acha kuwa kimya.
 
yaani pamoja na kuweka maandishi makubwa hapo chini kuwa yeye ni mwanamke bado umeuliza?

Ungepata muda kuangalia muda niliobandika na muda aliohariri bandiko lake utagundua kwanini niliuliza.
 
sex mara kwa mara nasikia ....... ni brush tosha
Hii inasaidia kwani mwanamke anapokuwa hafanyi mapenzi kwa muda mrefu na anatumia muda wake mwingi kuwazia tendo la ndoa huo uchafu (mi siuiti uchafu) ila hayo maji meupe lazima yatoke.
 
Ungepata muda kuangalia muda niliobandika na muda aliohariri bandiko lake utagundua kwanini niliuliza.

kuanzia upoanza tu kusoma hii thread unagundua ni mwanamke,watu wengine cjui mnatumia akiri za wapi?
 
hilo ni suala linalohitaji utalaamu zaidi,ni vizur kutembelea tena wataalamu kwa uchunguzi zaidi,usikate tamaa na pole
 
Unataka awe kama neti kama ulivyoandika kw signature yako?....(Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu).

Halafu anapoji exclude "mngekua" ndo nashindwa kumuelewa...
 
Pole sana Bibie Jaribu dawa yangu hii Tafadhali ikikuponyesha uje tena hapa uniambie ili na

watu wengine wapate faida zaidi. Fanya hivi :


chukua msonobari na Dawa moja inaitwa kwa jina hili Uwatu na ubani mweupe twanga

chemsha unywe na nusu weka katika pamba na uweke sehem ya siri


kiasi cha nusu saa kisha toa utahisi kama ina vuta usikhofu na utatokwa na majimaji mengi

mwanzoni mwa matumizi ya


dawa hiyo usikhofu baada ya siku 7 utakua safi kwa ni hizo ni fangas za ndani na utakua na

ladha tamu kwa mumeo



fanya hio upate raha insha allah.
 
Nashukuru saaana mzizi mkavu ila naomba nikusumbue hizo dawa naweza kupata kwenye maduka gn msonobari na uwatu??
 
ubarikiwe mkuu MziziMkavu maana inaonekana mme wake afaidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…