Kutokwa uchafu mweupe sehemu za siri

Nashukuru saaana mzizi mkavu ila naomba nikusumbue hizo dawa naweza kupata kwenye maduka gn msonobari na uwatu??
Kama upo Mjini Dares-salaam nenda karibu na sokoni Kariakoo Mtaa wa nyamwezi na mkunguni kwenye maduka ya dawa kaulizie hizo dawa utapata. Ukikosa Msonobari nenda kaulizie kwa wakweree wanaouza Dawa za kienyeji watakupa huo msonobari. Uwatu kwa lugha ya kiingereza unaitwa kwa jina hili ( fenugreek-seeds) angalia picha hapo chini




Uwatu ( fenugreek-seeds)




Msonobari (Pine Tree).
 

Attachments

  • fenugreek-seeds.jpg
    26.8 KB · Views: 504
  • Msonobari.jpg
    18.1 KB · Views: 435
Mi ningekushauri uende tena hospitali ukajieleze. Wanawake wote hutoka aina fulani ya majimaji sehemu za siri which is normal. Wingi au uchache hutegemea yupo katika hatua gani ya mzunguko pamoja na maumbile. Kama hosp wakikwambia hauna tatizo basi hakuna haja ya kuhofu ( muone daktari wa magonjwa ya wanawake). Ushauri mwingine, kuosha sehemu za siri kwa kutumia anti-bacteria soap kama dettol hua haishauriwi maana unaweza kuua na bacteria ambao wanaishi huko ili kukulinda na magonjwa.
 
hizo ni Fangus au Bacterial Vaginosisnunua cotrimozazile pesaaries weka uken kila cku, huyu mzizimkavu na biashara yake ya mitishamba, some issue are healed by scientific medcation, kama hii najua ni FUNGAL


MEZA COTRIMAZOLE VDONGE NA WEKA PESSARIWS UKEN, WIKI HAITOISHA
 
yaweza kuwa ni fangasi hizo au hujisafishi vizuri, hakikisha unanawa na maji ya uvuguvugu na antibacteria, ingiza kidole usafishe mara mbili kwa siku

antbacteria hazruhusiwi uken wewe, utaua wadudu wengine ambao ni mhimu kwa afya ya uke, msiwe mnatoa ushauri ksma hamjui au hamjasomea haya mambo, siyo sifa,


antbactetia kill normal vaginal flora, hvyo you wil end up with uchafu kila siku badala ya kupona
 

unachemsha kwa kiasi gani cha maji na kwa muda gani dr?
 
unachemsha kwa kiasi gani cha maji na kwa muda gani dr?
Unaweza kuchemsha maji ya kipimo cha glasi 3ukaweka jikoni ichemke kama dakika 10 kisha una kunywa glasi moja asaubuhi mchana unachemsha

tena kama ulivyofanya asubuhi na unakunywa na usiku hivyo hivyo unafanya kama ulivyo fanya asubuhi kwa muda wa

siku 7 . itapendeza uwe unaweka dawa kidogo kidogo mpaka ikamilike siku 7 Dawa ununuwe ya kutosha kwa muda wa siku

7 na dawa unayochemsha asubuhi unaweza kuitumia mpaka usiku inatosha kazi yako utakuwa unaongeza maji na siku

inayofuata unaweka dawa mpya fanya hivyo kwa muda wa siku 7 kwa kukisia.
 

asante.
 
Mzizi mkavu nashukuru saaana kwa muda wako mwingi unaotumia kutusaidia ila naomba unisaidie jambo moja mm nk arusha naweza kupata hizo dawa ktk maduka gani???
 
Mfa maji ubarikiwe saaana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Bariadi-kwetu nashukuru saaana ushauri wk nitaufanyia kazi pis
 
Fidelis ucjal mm namshukuru MUNGU nilishapona kitambo saaana ila ucdhani kwamba ni mm peke yng nawezakuwa nasumbuliwa na tatizo hilo bali ni wengi saaana hata wewe labda una tatizo km hilo lkn hujui kwahiyo kupitia jukwaa hili wengi wamepona
 
pole dada hiyo inaweza kua fangas au sio mpaka doc akuambie jina la huo ugonjwa.Acha kutumia detol kuoshea huko chini na medicated soap za aina zote na kama hua unatumia kilainish chochote wakati wa sex acha kabisa.kwa sababu huko chin kuna aina ya bacteria ambao hawana madhara sasa unavokua unatumia vitu kama hivo vinawaua hao bacteria ndo maana unakutwa na hali kama hiyo
 

hili tatizo limekumba wanawake wengi na wengi wamekuwa wasiri wakiuugulia kimya kimya. nakupongeza kwakujitokeza hapa na wake zetu watapata ujasiri wa kuelezea yao ya moyoni. tatizo kama lako linaanzia ndani mara nyingi sasa wengi wanatibu nje wanakimbilia kununua creamktk pharmacy bila kujua content bila kujua hasa anaumwa nn na kuongeza tatizo. kabla ya kukimbilia ktk dawa mwenye tatizo nakushauri ukafanye culture ujue tatizo limekuadhiri ndani kiasi gani. nigarama lakini.ni nzuri zaidi kukosa watoto aukuharibu kizazi.izazi na kikatolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…