Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Bahati mbaya mliyonayo Mungu Alisha jifunua Kwa watu na ameshafunga huo ukurasa kilichobaki Sasa ni maandiko tu

Wajinga hawawezi kuisha hapa duniani hata kama Leo hii Mungu atajifunua kwenu na mkaamini kuwa yupo believe me miaka 200 ijaya watatokea tena wajinga kama nyinyi watasema hakuna Mungu
 
Alijifunua kwa nani?
Babu mzaa Babu yako?
Bibi kizaa bibi yako?
Au Mwanaume aliyemzaa Babu aliyemzaa Babu wa Babu yako?

Sasa wewe mwerevu ulijuaje kwamba huyo ni Mungu/mungu?
 
Na hiki ndicho waliotuletea hizo dini walichokitaka (UOGA) na wamefanikiwa 100% kwa waafrikaView attachment 2756463
Mbona hata wazungu wanaamini uwepo wa Mungu na dini ndio imeshape maisha na maendeleo Yao.
Soma historia ya wazungu utayakuta haya.
Halafu nani kakuambia Mwafrika anaijua dini wengi wanashika dini na Sio wanaijua dini.
Unaposema dini una maanisha positivity.
Halafu tambua Kuna God na Gods ni nguvu mbili tofaut.
Mungu ni mmoja na miungu ipo zaidi ya hio elf 3.
Mwafrika angeijua dini asingekuwa masikini.
 
Imani ni nguvu iliyomo ndani mwa mtu.
Yaani positivity
 
Kama yupo basi ye ndio kanikosea sana kwanini ajifiche?

Kwanini kutimiza majukumu yake ya msingi ni mpaka mimi nimuombe tena kwa kujitesa sometimes anataka nikae na njaa (nifunge)

Na hata ukifanya hayo yote bado hakuna kitu anafanya

Morroco watu wanakufa kwa sababu yake, aliumba ulimwengu mbovu wenye kuruhusu matetemeko yanayoua maelfu bila hatia.

Mungu huyu anayeona hayo yote yanayoendelea huko Morroco bado tena anahitaji kukumbushwa ndio afanye kitu, na still hata ukimkumbusha bado ni kazi bure hawezi kufanya chochote.

Ni Mungu ambaye kama yupo basi anatakiwa kutuomba msamaha wa magoti na mchozi.
 
Hivi huku duniani kuna ambao wanamuani Mungu? Kivipi na kila siku kuna mauaji, usinzi, uongo, utapeli na dhuluma tena vinavyanywa na kufurahiwa na watu wale wale ambao kila siku wapo misikitini na makanisani tena wengine ni viongozi wakubwa kwenye dini hizo
 
Watu wamekuwa wakiaminishwa vitu visivyokuwepo na visivyokuwa na msaada zaidi ya kutiana ujinga na umaskini, vikiendelea kunufaisha watu wachache, dini ni ujinga na utapiamlo wa ubongo.
 
Watu hatuamini huwepo wa hivyo vitu lakini tunatenda yale yanayapaswa kutendwa na binadamu mwenye utu na aliyestaharabika, endeleeni na unafiki wenu...kabla ya hizi dini mababu zetu walikuwa wanaishi vipi?
 
Imani na nnguvu ni vitu viwili tofauti.

Labda mjuvi nidadavulie
1)Imani ni nini?
2)Nguvu ni nini?
Imani ipo ndani ya nguvu.
Nguvu ni msukumo wa ndani wa kutenda au kufanyiza kitu mfano uponyaji,mzuka wa kazi,ujasiri nk.
Imani ni uamuzi wa kuamini kusudi Fulani lilete matokeo chanya kwenye maisha yako.
 
Bullshit. Watu wanaomuamini Mungu ndio watenda maovu kuliko wasiomuamini Mungu.
 
Huyo God ana tofauti gani na hao Gods?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…