Kutongoza mitandaoni leo mimi mwisho

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nimemtongoza **** kwa mara ya pili+rafiki yake jaman nimetoka nduki na block iliwahusu mapema sana.
Jaman jifunzeni kupitia Mimi mwenzenu nimekinukisha.
,,,,,,,,,,
,,,,,,,,,,
PAGE#2 NIMEELEZEA KWA UZURI,
dah nilikuja speed kwel hata nutshell haikubalance wakuu nikajikuta nshapost muda na kupiga MBONJI kuyasahau haya.
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nimemtongoza **** kwa mara ya pili+rafiki yake jaman nimetoka nduki na block iliwahusu mapema sana.
Jaman jifunzeni kupitia Mimi mwenzenu nimekinukisha.
Endelea tu siku ukutane na miraba minne kiboga kitahusika[emoji125] [emoji125]
 
.......... Leo mapema majina ya saa5 naamua kuingia fb kuperuz kama ada,Mara nazoom notification inagonga79,nikasema naam naifungua hivi nakuta likes za kutosha mingi zikitoka kwa watoto wakali(si unajua tena ukiwa handsome), vicommenti vya kusfiwa nini,nikasema ngoja nitupe nyavu yangu huko inbobo,asalaaaalah! Mara naanza kuomba kufahamiana zaidi mtoto naye kajaa,full kupewa WhatsApp namba zote nikasema na'am,si haba janjaro fish ninaye huyu,naingia WhatsApp kuchat sana+mishipi(approach) mingi tu taraa nikapata wakulumangia time hizi,ebwanae inafika hatua chati iko motomoto mara paaap,,,narushiwa pic za faragha na mamito,aiseee nilinywea na kutimua mbio nyingi mno,kumbe dogo she was my love already alitaka kunichoresha tu,SAAAD!!!.



Hapo hapo naunganisha dots....nachat na mrembo mwengne same story same case,akaanza nishushua"Heeh wewe utapenda wangap hujui*** ni room mate wangu,na kwa taarifa yako naenda kukinukishaa"

Oooh shiiiiiiit! nilimtokaje unajua?....
Mathee wanaume tuna akili mingi sana nilijizuga kumwambia oh nilikujoke kuona you friendship really work for both of y'all au mwaeza chukuliana mabwana,na kumsfia hapo hapo,Sinorita you know what? you're really good to my love,wewe sio msaliti keep it,aaaand I knew about you very long time before cos my gal nimem-hack so every chatting of y'all nazisoma,alinielewa na kuanza kujijaza(refueling) kama meli za NK[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Ni story ndefu but to cut the long story short, get that,

Mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…