mimi kama mwanamme sioni kwanini mwanamke asitongoze kama akipenda.tatizo letu ni baadhi ya sisi wanaume sijui kutojiamini au ushamba.utakuta baada ya kutongozwa unatangaza mtaa mzima fulani ananitaka,sijui ili iweje?kumbuka ni bora uwe na mpenzi ulie na uhakika kuwa anakupenda.mimi nasema kumtangaza ni ushamba wa hali ya juu.....akina mama kutongoza mi naona ruhsa.jana ktk eatv "strictly kenyan" kulikuwa na mada kuhusu wanawake wa kenya kuanza kwa kasi ya ajabu kutongoza wanaume. Wahojiwa walikuwa wanaume na wanawake; na wote waliliona kuwa ni jambo la kawaida kabisa na kuliunga mkono. Lakini miye bazazi nina wasiwasi kama huo ni mpango wa yehova mungu. Ukiangalia wanyama na ndege wote utaona kuwa watongozaji ni wakiume. Kwa sababu hiyo ndio maana kwa binadamu wanawake ni wazuri ili wawavutie wanaume lakini wanyama/ndege kwa vile hawana uwezo wa kuongea mungu aliwafanya wa kiume kuwa wazuri ili kuwafutia wanawake. Naomba kukosolewa kwa haki. Nawakilisha
tupeni basi mistari ya kuwatokea wakaka!...:behindsofa:
Wala hamhitaji mistari....kwa yule unayemzimia wewe tabasamu, kuwa mchangamfu kuliko kawaida...nk.....utaona mwenyewe anakuanza....
na huku kwenye internet je?..
tupeni basi mistari ya kuwatokea wakaka!...:behindsofa:
tupeni basi mistari ya kuwatokea wakaka!...:behindsofa:
tupeni basi mistari ya kuwatokea wakaka!...:behindsofa:
kweli ni haki yenu wanaume...:tape2:
Wala hamhitaji mistari....kwa yule unayemzimia wewe tabasamu, kuwa mchangamfu kuliko kawaida...nk.....utaona mwenyewe anakuanza....
mimi kama mwanamme sioni kwanini mwanamke asitongoze kama akipenda.tatizo letu ni baadhi ya sisi wanaume sijui kutojiamini au ushamba.utakuta baada ya kutongozwa unatangaza mtaa mzima fulani ananitaka,sijui ili iweje?kumbuka ni bora uwe na mpenzi ulie na uhakika kuwa anakupenda.mimi nasema kumtangaza ni ushamba wa hali ya juu.....akina mama kutongoza mi naona ruhsa.

Mimi naona wachwe wajaribu ili waona kesheshe ambayo huwa tunakumbana nayo. Ni kawaida kutamani cha mwenzio ila ukikipata ndo unagundua kuwa labda si mali sana kama ulivyodhania. Experience is the best teacher. Naona akina dada waachwe wajaribu bahati zao life, badala ya kusubiri na wakati mwingine kufa na kihoro.
Mkuu!! waache waje tuwatwange vibuti wapate akili!
nikishindwa kusema kwa maneno ntamwonesha kwa vitendo kwa kweli
hakuna ubaya kumpenda mwanaume....(nazungumzia true love na kumtamani hapa)