Kutongoza ni Haki ya Kiumbe wa Kiume tu?



Bazazi;

viumbe wa kike pia wana haki ya kutongoza na ukichunguza sana utagundua kwamba kuna mechanism walizonazo zinazofanya wavutie, and that by itself ni indirect kutongoza, mfano

  • mammals wakiwa kwenye heat kuna smell au mng'ao wanaoutoa, na wengi hubadili hadi miondoko na mavazi.... it is natural na ni haki yao
  • ukiwa mashuleni au makazini, you will definitely identify a woman who wants a certain man! yes, her conversation, attention and even the way she looks are unique... pia ni utongozaji, si lazima akupigie simu na kukuomba ndito au penzi ndio awe ametongoza

in short utongozaji wao uko very sophisticated and advanced na ndio maana theier success rate rate is very high
 
in short utongozaji wao uko very sophisticated and advanced na ndio maana theier success rate rate is very high

Naamini ndio sababu sikumchomoa hata mmoja waliponotokea. Lakini kwanini ulidumu zaidi kuliko niliowatokea miye ukimuacha LA-AZIZ. Nilikuwa mtoto; uchaguzi mbovu; ujinga tu au mapuuza?
 
Watu tupo tofauti sana......
Mimi binafsi wanawake wanaotongoza wanaume huwa nawazimia sana.......
It shows confidence and knowing what u want..............

Binafsi nimedumu sana kwenye relationships ambazo
mwanamke ndie alinitokea first..............
 

Tuko pamoja bosile....
 
Kwa kweli mwanume kutongozwa na mwanake akakataa ni wachache sana so kitakachotokea hapo ni kwamba watati... ooh sorry JF! Alaf mwisho wa siku wataacha. Sio rahisi kumpima mwanamke mwenue mapenzi ya kweli kam ilvyorahisi kumpima mwnaume pia. Anaeza kukutongoza2 kwasaabu unamali, au umaarufu then anakumwaga. M e kwngu hyo hai apply na m2 akntongoza ajue2 ataliwa then nasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…