K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Dec 18, 2010 #1 Cheki jamaa anavyohangaika hapa, mara utasikia "usiku silali nakuota wewe" Attachments KUTONGOZA KAZI KWELI.jpg 26.1 KB · Views: 638
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Dec 18, 2010 #2 sa si amtumie meseji tu kazi yote ya nini hii
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Dec 18, 2010 #3 Hapo anatongoza au wameshakubaliana na ni wapenzi wa siku nyingi maana kama ni kutongoza huwezi kuruhusiwa kuwa karibu namna hii.
Hapo anatongoza au wameshakubaliana na ni wapenzi wa siku nyingi maana kama ni kutongoza huwezi kuruhusiwa kuwa karibu namna hii.
T Tasia I JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 1,223 Reaction score 193 Dec 18, 2010 #4 hapa kisha eleweka bana!
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Dec 18, 2010 #5 KakaNanii said: Cheki jamaa anavyohangaika hapa, mara utasikia "usiku silali nakuota wewe" Click to expand... Hapa jamaa anaomba msamaha baada ya kumuudhi mpenzi wake!! Anabembeleza.
KakaNanii said: Cheki jamaa anavyohangaika hapa, mara utasikia "usiku silali nakuota wewe" Click to expand... Hapa jamaa anaomba msamaha baada ya kumuudhi mpenzi wake!! Anabembeleza.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Dec 18, 2010 #6 hapo jamaa ashakula tayari.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 200 Dec 19, 2010 #7 tasia I said: hapa kisha eleweka bana! Click to expand... Watu hawajui kusoma picha nini? Hapo jamaa kashakubaliwa siku nyiingi na wapo katika romance tu
tasia I said: hapa kisha eleweka bana! Click to expand... Watu hawajui kusoma picha nini? Hapo jamaa kashakubaliwa siku nyiingi na wapo katika romance tu
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Dec 19, 2010 #8 Oooo dis is the cutest pic i've seen so far.nice
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Dec 19, 2010 #9 hawa ni marafiki wala hawatongozani
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Dec 19, 2010 #10 boma2000 said: hawa ni marafiki wala hawatongozani Click to expand... Marafiki na hilo poz.Nope i dont think xo.
boma2000 said: hawa ni marafiki wala hawatongozani Click to expand... Marafiki na hilo poz.Nope i dont think xo.