Ndugu, inabidi uandike barua kwa hilo, kuonana kwa macho tu haitoshi. Sehemu hizo mambo yanaenda kimaandishi zaidi. Inawezekana fili la hiyo kesi likawa mahakama kuu, fuatilia na huko pia,Habari waungwana..
Nilikuwa na kesi pale CMA iliyo tolewa hukumu mwaka jana mwezi wa nane..
Upande wa pili waliomba revision kwa hiyo kesi ikaenda high court..
Sasa tangia wakati huo, jalada halionekani, nimejaribu kuonana na hakimu husika, incharge wake, mkurugenzi mkuu lakini bila mafanikio...
Naombeni msaada kwa uzoefu mlio nao, nn kifanyike?
Mahama kuu halipo mkuu, nilienda wakanipa kopy za barua ambazo walikuwa wanaliita file bila mafanikio..Ndugu, inabidi uandike barua kwa hilo, kuonana kwa macho tu haitoshi. Sehemu hizo mambo yanaenda kimaandishi zaidi. Inawezekana fili la hiyo kesi likawa mahakama kuu, fuatilia na huko pia,
Fika kesho CMA suala lako litashughulikiwaHabari waungwana..
Nilikuwa na kesi pale CMA iliyo tolewa hukumu mwaka jana mwezi wa nane..
Upande wa pili waliomba revision kwa hiyo kesi ikaenda high court..
Sasa tangia wakati huo, jalada halionekani, nimejaribu kuonana na hakimu husika, incharge wake, mkurugenzi mkuu lakini bila mafanikio...
Naombeni msaada kwa uzoefu mlio nao, nn kifanyike?
Habari waungwana..

Fika kesho CMA suala lako litashughulikiwa
Nimesha fika hapo zaidi ya mara mia, hakuna kinacho fanyika..
Inaonekana kuna mtu ameficha file langu..
Ebu ngoja ni subscrib huu uzi, pengine nikapata machache ya kujifunza aiseeee......Suala lako lilisikilizwa na nani?