Kutoonekana kwa matokeo ya kidato cha nne 2012

MOODY ECONOMICS

New Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Kuna uvmi kwamba matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yaani wale waliovunja record ya kufeli hayaonekani mtandaoni.Sasa ni vizuri kuhakiki wao wenyewecoz imesababisha matatizo mtaani kwetu.
 
Kweli kabisa.Ukifungua ukurasa wa necta link za matokeo hazipo kabisa.
 
Yameshafutwa na mitihani inasahihishwa upya mkuu
 
Kuna uvmi kwamba matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yaani wale waliovunja record ya kufeli hayaonekani mtandaoni.Sasa ni vizuri kuhakiki wao wenyewecoz imesababisha matatizo mtaani kwetu.

kitaeleweka tu
 
ni kwel mkuu wameyatoa

Watu wapo dakika 15 mbele, walishajua kwamba matokeo yanaweza kuondolewa mtandaoni, ngoja tuyavune na kuyahifadhi kama yatahitajika.
 
Watu wapo dakika 15 mbele, walishajua kwamba matokeo yanaweza kutolewa mtandaoni, ngoja tuyavune na kuyahifadhi kama yatahitajika.

Naskia they do a new correction and more people get As, and the case is solved. So hata ukileta za zamani unaweza kuambiwa those were wrongly marked. Labda tungehifadhi majibu ya wanafunzi ndio tungepatia.
I really wonder what has crossed their mind when they took this decision...
 

Wanapenda majibu rahisi kwa maswali magumu.

Watoto wamefeli sana? Badilisha kiwango cha kufaulu. Washatuwekea mpaka ripoti iliyochambua majibu na kuonyesha udhaifu wa majibu, sasa hayo nayo ni tatizo la grading?

Naona mpaka Waingereza wanababaika, labda it's time to go back to the apprenticeship system /s .

'Lack of confidence' in GCSE grade


BBC News - 'Lack of confidence' in GCSE grades
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…