Kutopata siku vizuri

Nancy herman

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
35
Reaction score
8
Habari! mdogo wangu anamatatizo ya kutoona siku zake mara kwa mara. anaweza pata mwezi huu akafunga miezi 2 au 1 tatizo ni nini?
 
Mkuu

Naomba tuwasiliane kwa VIRUTUBISHO vitakavyomsaidia mdogo wako juu ya tatizo lake ikiwemo pad na pantiliners.

0713 366 473

0767 277 223

KARIBU
 
Habari! mdogo wangu ya kutoona siku zake mara kwa mara. anaweza pata mwezi huu akafunga miezi 2 au 1 tatizo ni nini?
Kama ni Mdogo wako au ni kama wewe mwenyewe lakini ndio unasema mdogo wako nenda Hospitali kuangaliwa na Daktari ndio atajuwa kutopata siku zako kwa njia ya kwaida kunasababishwa na nini ? atakupa dawa au atakupa ushauri wa kufanya ikishindikana hujapona wewe au huyo ndugu yako uje hapa utupe feedback ndo ndio tutaweza kukusaidia pasipo na kwenda hospitali hutapata msaaada wowote ule hapa jaribu fanya hivyo kisha uje tena hapa kueleza umefikia wapi?

Bibie Chocs hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Sijambo Dr
Za siku nyingi?
 
Hilitatizo husababishwa sana kama iron levels mwilini zinakuwa depleted. Mwambie azidishe iron intake. Ila nakubaliana na MM. Aende kwa doctor kwa uhakika zaidi ikiwemo vipimo.
 
Mkuu

Naomba tuwasiliane kwa VIRUTUBISHO vitakavyomsaidia mdogo wako juu ya tatizo lake ikiwemo pad na pantiliners.

0713 366 473

0767 277 223

KARIBU
Oh plizzzz! MoneyMakers!! Pads na pantyliners zitamsaidiaje kuimarisha upatikanaji wa siku zake?
 
Last edited by a moderator:
Oh plizzzz! MoneyMakers!! Pads na pantyliners zitamsaidiaje kuimarisha upatikanaji wa siku zake?


Karucee

pad na pantiliners hizi zina dawa ya mmea ujulikanao kama LEONURUS inayosaidia kuratibu mzunguko wa hedhi na kuwa sawa (regullar), kuondoa tatizo la heavy bleeding, maumivu ya tumbo la chango, kukukinga dhidi ya fungus, kusafisha kizazi, na zaidi hukaa muda mrefu wa masaa 8 mpaka 12 bila kulowana kulingana na bleeding. Hakika zimetengenezwa kukufanya wewe mwanamke ufurahie siku zako na kujivunia kupanda chombo tofauti na hali ilivyo sasa kiasi cha wanawake wengi kutokuwa na FURAHA wapandapo chombo kiasi cha kujutia maumbile yao.

Naomba uchukue hatua kutumia pad na pantiliners hizi kisha urudi hapa jamvini kunisuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…