habdul64 Senior Member Joined Dec 24, 2014 Posts 153 Reaction score 67 May 11, 2015 #1 Jamani tuwekane wazi je ni kweli halmashauri zimezuiliwa kuwapokea waliochelewa kuripoti au kunaharufu ya wizi hapa
Jamani tuwekane wazi je ni kweli halmashauri zimezuiliwa kuwapokea waliochelewa kuripoti au kunaharufu ya wizi hapa
Madege JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 530 Reaction score 109 May 11, 2015 #2 ni wizi tu jamaangu karipoti leo huko pangani
Annuity JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 338 Reaction score 198 May 12, 2015 #3 habdul64 said: Jamani tuwekane wazi je ni kweli halmashauri zimezuiliwa kuwapokea waliochelewa kuripoti au kunaharufu ya wizi hapa Click to expand... Deadline ni lini? Na wewe umeripoti lini?
habdul64 said: Jamani tuwekane wazi je ni kweli halmashauri zimezuiliwa kuwapokea waliochelewa kuripoti au kunaharufu ya wizi hapa Click to expand... Deadline ni lini? Na wewe umeripoti lini?